Kuhusu
Timu ya utafiti ya Bio-Oil inapania kukuza bidhaa za kutunza ngozi kwa kizazi kijacho. Bidhaa ambazo ni bora zaidi kuliko zinazopatikana kwa sasa. Timu hii haina nia ya kujaribu kuboresha juu ya teknolojia iliyopo - rafu za wauzaji tayari zimejaa bidhaa ambazo zina tofauti tofauti na nyingine. Njia pekee ya kuvunja ardhi mpya ni kufukuza fikira za jadi, kuanza kutoka mwanzo na kutafuta njia iliyo bora; hii ndio hamu ya timu. Timu ya utafiti ya Bio-Oil inaongozwa na ndugu Justin na David Letschert, ambao ndio wamiliki wa biashara hii.